1.USIU - Lemmie have fries with masala.. kebab and don’t forget
to add some salad on It
2.KU - "Waah si naskia
njaa" "Waiter!! Waiter!! ebu Kam haraka!!" "Leta Chips ile ya 30bob na Uongeze
Madodo!!" After chipo anaongeza BlueMoon
na kuenda lecture.
3.UoN - Sasa waiter
ebu leta menu (analetewa menu) (Cheapest
food ni chai 90bob followed by chips plain 150bob ) "uuummmh!! waiter niletee maji pliiiz" (analetewa maji and leaves)
4.Moi Uni - pssst!!
Waiter!! Good afternoon!! Do you have chicken!! (waiter-yes!!) what about pilau with beef stew
(waiter-yes!!) Ok nipee mkarango!!
5.MAASAI MARA Uni - Anaita waiter, "Buda boss leta wali na nyama
ya zebra resh na ukatekate!! we pilipili na supu ya swara.
samaki fres kutoka
Lake and ugali for two (analetewa and
complain) aii Omera this ugali is so cold enda weka kwa microwave ya 'samsung' na
uletee mimi maji ya kunawa mikono YAWA!!
7. MKU - Waiter
nlikua nauliza kuna pizza?(yeah iko)… hamburger? (ile kubwa sana iko..) kwa
hasira hyo nletee mukimo ya njahi.
8.JKUAT - (Anainigia hoteli njaa imemmaliza) Huyo mama wa
food ako wapi?? (anamwona) Mama Chesut wapi NAMBA TATU(Chapo Tatu na Beef Stew)
(Waiter- iko karibu kuiva utangoja kidogo) NKKT!! wacha ikae i have a lot to cover mimi nimeenda kusoma engineering!!
9.KMTC - Letea mi mandazi surwa ya mbao. Alafu after kudema anatoka na toothpick kwa mdomo yet hajui alikula nyama lini mwisho
10.Egerton Uni - Waiter
leta githeri haraka!! (analetea)
aaarrgh hii food ni dry sana hakuna supu??
(Waiter-Imeisha) Sawa leta ile Maziwa yetu
YOGO YOGO
No comments:
Post a Comment